Stamina kakaa chini na Mtu Mzima FID Q na kumuomba Beat ya Wimbo Maarafu wa Mwanza Mwanza ili afanye Remix ya Wimbo Huo..Mzee Mzima FID Q Kampa Beat na kutoa wimbo unaitwa Moro Moro...Msikilize Hapa Kama Amemfunika FID Q ama La? Toa Maoni yako Hapa
on Friday, November 16, 2012
Post a Comment