Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUU NDIO WASIFU WA KATIBU MKUU MPYA WA CCM, ABDULHAAMAN KINANA UNAOWATESA WAPINZANIA


Pichani ni Mwanajeshi Mkakamavu wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Waziri wa Zamani w
a Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Katibu Mkuu Mpya wa Chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akionekana Mtanashati katika Vazi lake la Uspika wa Bunge la Afrika Mashariki.

Picha hii ilipigwa Mwaka 2001 wakati Ndugu Abdulrahman Kinana akisimikwa kuwa Spika wa Kwanza wa Bunge la Afrika Mashariki, nafasi ambayo aliishika kwa Muda wa Miaka mitano.

Kinana pia anatajwa kuwa Meneja wa Kampeni wa CCM katika Uchaguzi wa Mwaka 1995 uliomuingiza Madarakani Rais Benjamin William Mkapa na pia Mwaka 2010 katika Uchaguzi Mkuu uliomuingiza Madarakani Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Blog ya NDGSHILATU unampongeza Ndugu Abdulrahman Kinana kwa Uteuzi alioupata katika nafasi husika na unamtakia kila la Kheri katika Majukumu yake Mapya.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top