Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUU NDO MOYO WA "CHUMA" WA JACK PATRICK USIO NA CHEMBE HATA MOJA YA HURUMA

 

MATENDO anayofanya mwanamitindo Jackline Patrick wakati mumewe Abdullatif Fundikira akiteseka gerezani, yametajwa kuwa ni usaliti wa asilimia miamoja na kwamba kama hatajirekebisha, mwisho wake utakuwa mbaya.

Hayo yamekuja kufuatia hivi karibuni kupatikana kwa picha zinazomuonesha mwanadada huyo akiwa kimahaba zaidi na modo mwenzake wa kiume, Martin Kadinda huku mume wake akisota nyuma ya nondo.

Picha hizo zinawaonesha wawili hao wakiwa wamekumbatiana na kufanyiana mambo yasiyostahili kufanyika mbele za watu pale walipokuwa wakiogelea kwenye moja ya fukwe zilizopo jijini Dar na nyingine wakijiachia klabu.

HUYU NDO MUME WAKE AKIWA GEREZANI

HUYU NDO JACK AMBAYE NI "MKE WA MTU" AKILA BATA NA MWANAUME MWINGINE AMBAYE NI MARTINE KADINDA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top