Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dkt. Bilal akutana na Balozi wa CUBA leo


 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Balozi wa CUBA Nchini Jorge Lois Lopez Tormo, wakati Balozi Tormo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumsalimia. kwenye mazungumzo yao viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Nchi mbili hizi. Aidha Balozi Tormo aliipongeza Serikali kwa kuzindua mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam na kusema kuwa hatua hiyo inaiwezesha Tanzania kuwa ni Nchi yenye nguvu kiuchumi katika Bara la Afrika miaka michache ijayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Balozi wa CUBA Nchini Jorge Luis Lopez Tormo wakati Balozi huyo alipofika Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya kumsalimia. katika mazungumzo yao viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu kati ya Nchi mbili hizi. Aidha Balozi Tormo aliipongeza Serikali kwa kuzindua mradi wa ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka mtwara hadi Dar es salaam na kusema kuwa hatua hiyo inaiwezesha Tanzania kuwa ni Nchi yenye nguvu kubwa kiuchumi katika Bara la Afrika miaka michache ijayo.Picha na OMR
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top