Mwenyekiti wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakiwa katika picha ya kumbukumbu na
viongozi wa matawi ya CCM ughaibuni (Diaspora) waliowaalika kwa chakula cha
mchana Ikulu ndogo mjini Dodoma Jumatano Novemba 14, 2012. Viongozi hao kutoka
Marekani, Italy, India, Uingereza , Afrika kusini na India walihudhuria katika
Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM uliomalizika juzi
Kizota.
Loading...
Post a Comment