Jaji Mkuu Mh. Othman Chande akiwa na Jaji mkuu
wa Kenya Mh. Willy Mtungi na Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa mapumziko ya kongamano la mwaka la majaji inayofanyikia
kwenye hoteli ya Snow Crest Hotel
jijini Arusha
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde
Warioba akisalimiana na mmiliki wa Snow Crest Hotel ya jijini Arusha Ndugu
Wilfred LucasTarimo wakati wa mapumziko
Sehemu ya majaji wakiwa kwenye kongamano hilo |
Waheshimiwa
wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko kwenye kongamano hilo la mwaka la
majaji. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii
Post a Comment