Vijana wawili maarufu na makada wa Chama Cha Mapinduzi kutoka wilayani Nzega, Hussein Bashe na Dkt. Hamisi Kigwangallah ambao wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho walikuwa mahasimu wakubwa, hivi sasa uhusiano wao unaonekana tofauti kabisa.
Bashe (kushoto) akizungumza jambo huku wakiwa katika furaha na kada mwenzake wa CCM, Nzega na Mbunge wa Nzega, Dkt. Kingwangallah(Kulia) nje ya ukumbi wa Kizota wakati Makundi mbalimbali ya Mikoa yakipiga picha na Mwenyekiti wa Chama hicho Rais Jakaya Kikwete.Picha na Maelezo na Mroki Mroki
Post a Comment