PICHA hii kwa hivi
sasa imesambaa sana kwenye mitandao mingi sana ya kijamii, ila na sisi tukaona
sio mbaya tuiweke mbelel yenu wadau wetu muweze kuiona.
Hii ni picha ya tukio halisi kabisa ambalo lietokeo huko NCHINI INDIA ambapo bwana mmoja mfugaji aliyetambulika kwa jina la Kandasamy, 45 aligundua ya kuwa moja kati ya mbuzi wake amejifungua mtoto ambaye ana jicho moja tu katikati tofauti kabisa na mbuzi weingine.

Post a Comment