Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama
barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akikmkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu
ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA
Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa
vyeti
Kamanda Mpinga akiongea
na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa
temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic
Kuu.
Mkurugenzi Manispaa ya
Temeke Mama Nyalile akiwaasa bodaboda, L to R kamanda Mpinga, M/kiti wa wa
bodi ya ushauri ya chuo Nd. Marealle, Mkuu wa chuo cha VETA Nd.
Ng'andu
Onyesho la
Mishikaki ambapo waendesha piki piki hap wameapa kutopakia abiria zaidi ya
mmoja.
Wahitimu hao wakiserebuka
kidogo
Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda
wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla
hiyo.
Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha
zote kwa hisani ya SACP Mpinga - CO
Traffic
Post a Comment