|
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Serengeti Boys Ishinde, Kassim Mohamed Dewji
akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Serengeti, ndani ya hoteli
ya JB Bellmonte, katikati ya Jiji la Dar es Salaam asubuhi ya leo kuhusu
maandalizi ya mechi ya Jumapili dhidi ya Kongo Brazzaville, kuwania tiketi ya
kucheza Fainali za U-17 Afrika. Dewji amesema Kamati yake imefanikiwa kukusanya
Sh. Milioni 35 kati ya Milioni 60 zinazotakiwa kwa maandalizi ya mchezo huo wa
kwanza. Wengine kulia ni Henry Tandau, Katibu wa Kamati na kushoto, Angetile
Osiah, Mjumbe wa Kamati.
|
|
Mjumbe
wa Kamati, Abdallah Ahmad Bin Kleb |
|
Kutokas
kulia Bin Kleb, Tandau, Dewji, Osiah na Mjumbe mwingine wa Kamati, Salim
Abdallah |
|
Salim
Abdallah kushoto na Osiah kulia |
|
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati, KD akizungumza kwa simu na Mwenyekiti wake, Ridhiwani
Kikwete ambaye hakuhudhuria mkutano kwa sababu yupo msibani kwao Bagamoyo. |
on Friday, November 16, 2012
Post a Comment