Home » Unlabelled » Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi -CCM Bw Abdulrahamani Kinana amesema kuanzia sasa ni marufuku viongozi wa ngazi zote wa Chama hicho kujiita waheshimiwa kwani utaratibu huo licha ya kujenga mazingira ya kuwepo kwa tabaka la wanaostahili Kuheshimiwa na wasiostahili unavunja misingi ya chama hicho inayosimamia usawa wa binadamu{VIDEO}
Post a Comment