Baadhi
ya washiriki wakianza kutimua vumbi...
Burudani
inaendela jukwaani...
Wasanii
wakitoa burudani jukwaani wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi
zawadi.
Mmoja
kati ya washiriki akifurahia kitita, baada ya kukabidhiwa.
Kaimu
Katibu Tawala wa Manispaa ya Musoma Rephael Joseph Nyanda, akimkabidhi kitita
cha Tsh.700,000 Nahodha wa timu ya Makasia ya Wanawake ya Kisorya kutoka eneo
hilo la Kisorya Nyamisi Deo, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya
Mitumbwi (Balimi Boat Race) ngazi ya Mkoa Wilayani Musoma Mkoani Mara
jana.
Post a Comment