Hii Ndio sehemu
watakayokaa wakuu na Viongozi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma kwaajili ya kuwatunuku
wahitimu muda mfupi ujao katika viwanja vya chimwaga vilivyopo chuoni
hapo
Baadhi ya Wahitimu wa
Kitivo Cha Sayansi ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa
katika harakati za kutafuta picha za ukumbusho na rafiki zao wakati wa sherehe
za mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayotajiwa kuanza saa saba Mchana
wa leo katika viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Nikiwa na Classmate wangu
Wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Mahafali ya
Tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yanayofanyika katika Viwanja vya Chimwaga
vilivyopo Chuoni Hapo
Kutoka Kushoto Ni
Josephat Lukaza Mmiliki wa Lukaza Blog akifuatiwa na Emmanuel Mwakibinga na
Patrick Kapachino Kapongwa katika Picha ya Pamoja Kabla ya Sherehe za mahafali
ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Kuanza katika Viwanja Vya Chimwaga
leo
Wahitimu wakiwa katika
shamrashamra za huku na kule katika Kuchuku taswira za ukumbusho katika mahafali
ya tatu ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya chimwaga
vilivyopo Chuoni hapo
Wahitimu wakiwa Katika
Harakati za hapa na pale katika mahafali ya tatu ya chuo kikuu cha Dodoma
yanayofanyika katika Viwanja Vya Chiwaga Vilivyopo Chuoni hapo leo. Tutaendelea
Kuwarushia Matukio Zaidi ya Mahafali ya Tatu Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma
Post a Comment