Marehemu Swetu Fundikira enzi za uhai
wake.
Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na
mauaji ya Fundikira MTM 1900 Sajenti Roda Robert(42) wa kikosi cha JKT-Mbweni na
MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi
--
WATUHUMIWA
katika mauaji ya Swetu Fundikira, MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi
cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo
wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es
Salaam
Post a Comment