Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (kulia) akizungumza na
mmoja wa wateja wa benki hiyo, Lemweli Shiwakwe, katika Tawi la Corporate
jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya NBC
iitwayo ‘Uongozi kwa Kuchukua Hatua’ ambayo viongozi wa juu wa NBC
kutembelea wateja na kusikiliza mahitaji yao.
Mkurugenzi Mtendaji wa
NBC, Lawrence Mafuru (kushoto) akisaidia kuhesabu pesa ili
kumhudumia mmoja wa wateja wa NBC wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru (wa pili kushoto) akizungumza
na baadhi ya wateja wa benki hiyo, katika Tawi la Corporate jijini
Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya NBC
iitwayo ‘Uongozi kwa Kuchukua Hatua’ ambayo viongozi wa juu wa NBC
kutembelea wateja na kusikiliza mahitaji yao. Kushoto ni Meneja Huduma
kwa Wateja wa NBC, Jane Dogani.
Mkurugenzi Mtendaji wa
NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akiwa pamoja na baadhi ya
viongozi wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa kampeni maalumu ya NBC
iitwayo ‘Uongozi kwa Kuchukua Hatua’ ambayo viongozi wa juu wa NBC
kutembelea wateja na kusikiliza mahitaji yao.
Post a Comment