Wanasema
nabii hakubaliki kwao.Usemi huu umedhihirika weekend hii baada ya wimbo wa AY
aliowashirikisha Sauti Sol, I don’t wanna be Alone kutwaa tuzo ya video bora ya
wimbo wa Afrika Mashariki katika tuzo za CHOMVA 2012.
Na
leo kupitia mshikaji wake mkubwa na AY, Mwana FA ambaye alimshindikiza nchini
Afrika Kusini kuchukua tuzo hiyo, imebainika kuwa kumbe, kamati ya tuzo za
Kilimanjaro Music Awards ilikataa kuunominate wimbo huo kuwania tuzo za mwaka
huu.
“Back
to the drawing board,hii wimbo imeshinda huku,si ‘kill music awards’
waliigomea,kuwa haikuwa inafaa hata kuwa kwenye nominations zao?” ametweet Mwana
FA.
What
a minute Mwana FA! Do you mean’KILL MUSIC AWARDS’ or Kili Music
Awards??
“Ina
maana viwango vyao ni vya juu hivyo?kuwa unaweza shinda channel O vya kwao ukawa
hujavifikia?ama kubana kwao kwa kipuuzi kumeumbuliwa? I’m not mad..what my boy
@AyTanzania won is much much bigger than ‘KILL music awards’..I’m just
concerned…that was ALL.”
AY
ni jiwe walilolikataa waashi.
Post a Comment