Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua mkutano wa 8 wa
Kimataifa wa Bima, ulioanza leo katika ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es
Salaam. Mkutano huo unatarajia kumalizika Novemba 8 mwaka huu.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wa Kimataiafa wa
Bima, kutoka mataifa mbalimbali wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia, katika
ukumbi wa Blue Peal, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye
Ukumbi wa Blue Peal, jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kufungua mkutano wa
8 wa Kimataifa wa Bima, ulioanza leo Novemba 6, 2012 ukitarajia kumalizika
Novemba 8, mwaka huu.
Post a Comment