Shughuli
ya upimaji wa macho kwa watoto, ikiendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,
wakati wa uzinduzi wa mpango huo, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini maalum ikiwa ni ishara ya
uzinduzi wa Mpango wa miaka minne wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya
kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na Tanzania,
uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt.
Paulina Mvella, wakati akimpima mtoto, Brayan Paul (7) mkazi wa Kigamboni,
wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika Mabanda kujionea shughuli za upimaji
macho kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni
Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za
Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered,
uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20,
2012. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Agrey
Manry.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Daktari
Bingwa wa (kulia) macho wa Watoto, kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili,
‘Optometrist’, Judith Mwenda, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika Mabanda
kujionea shughuli za upimaji macho kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa
miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa
watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard
Chartered, uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo
Nov 20, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Agrey
Manry, (wa tatu kushoto) ni Mtoto Abubakar Siaba Kaim, mkazi wa Keko Mwanga,
akipimwa macho.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wakati wa uzinduzi wa Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa
ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya, Uganda na
Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered, uliofanyika katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012. Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais
Post a Comment