Spika wa Bunge Mhe. Anne
Makinda akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan (Bunge) Mhe.
Hirotami Murakoshi kwenye chakula cha jioni Dodoma Hoteli. Waziri Murakoshi yupo
nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi.
Katibu wa Bunge Dkt Thomas
Kashillilah (kulia) akiwakaribisha na kuwafunda waajiriwa wapya 19 walioajiriwa
hivi karibuni katika ofisi ya Bunge.
Mhe. Azzan Zungu (kushoto),
Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge akitoa ufafanuzi wa yaliyotokea siku
alipotuhumiwa kutoa rushwa mjini Dodoma. Ameuhakikishia umma kwamba hilo si
kweli.
Wajumbe wa Jukwaa la Katiba
wakiwa na wanahabari mjini Dodoma wakati wa hafla ya kukabidhi jezi za michezo
kwa timu ya Bunge chini ya nahodha wake Mhe. Idd Azzan, Mbunge wa
Kinondon.
Post a Comment