Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI



Waziri Mkuu, Mizen go Pinda akizungumza na Mbunge wa Kahama, James Lembeli (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum,Maria Hewa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi ambaye pia ni Mbunge wa Ismani akiteta na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Fionnuala Gilsenan, Ofisini kwake , Bungeni Mjini Dodoma Novemba 7, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top