Mwanasheria wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki,Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiongoza
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo. Kushoto ni bwana Wilbert Kawa
Katikati ni bwana Dr. Richard Sezibera na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano
Uganda. Mkutano huu umefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Kenyetta leo jijini
Nairobi
Waziri wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samweli Sitta pamoja na Waziri wa Uchukuzi na Mhe Ole Nangoro Naibu Waziri Kilimo na Mifugo wakifuatilia kwa makini jambo katika Mkutano wa Baraza la Mwawaziri wa Jumuiya uliofanyika leo Jijini Nairobi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akifuatilia kwa karibu mkutano unaoendelea Nairobi katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya

Post a Comment