Baada
ya Mechi za Kimataifa za Kirafiki za katikati ya Wiki, Wikiendi hii Ligi Kuu
England, BPL, inarudi kwa kishindo na Mechi ya kwanza kabisa Siku ya Jumamosi ni
Dabi ya Jiji la London kati ya Arsenal na Tottenham itakayochezwa Uwanja wa
Emirates na Mechi ya mwisho Siku hiyo hiyo ni kati ya Norwich City na vinara wa
Ligi Manchester United itakayochezwa Uwanja wa Carrow Road.
RATIBA:
Jumamosi,
Novemba 17, 2012
[SAA
9 Dak 45 Mchana]
Arsenal
v Tottenham Hotspur
[SAA
12 Jioni]
Liverpool
v Wigan Athletic
Manchester
City v Aston Villa
Newcastle
United v Swansea City
Queens
Park Rangers v Southampton
Reading
v Everton
West
Bromwich Albion v Chelsea
[SAA
2 na Nusu Usiku]
Norwich
City v Manchester United
Jumapili,
Novemba 18, 2012
[SAA
1 Usiku]
Fulham
v Sunderland
Jumatatu,
Novemba 19, 2012
[SAA
5 Usiku]
WestHam
v Stoke City
Post a Comment