VIDEO Queen, Agness Jelard ‘Masogange’ amemlalamikia mtu mmoja aliyejipachika jina la Agnes kisha kufungua akaunt kwenye facebook na kuweka picha zake na kuwatongoza wanaume.
“Nimechoshwa na huyu mtu, nikimbaini kweli nitamuumiza
kwani ananishushia hadhi yangu, mimi nina wangu najiheshimu, siwezi kujiuza
mtandaoni,” alisema Agness.
Evance
alianza kupata umaarufu miaka kadhaa iliyopita baada ya kujitosa katika tasnia
ya filamu Bongo ambapo alianza kucheza filamu ya Roho Sita na Valentine Day
zilizosumbua sokoni.
Aidha, msanii huyo hivi karibuni
ameamua kumuanika mpenzi wake aitwaye Evance Komu kupitia mtandao wa
BBM. Masogange alifanya hivyo kwa
kutundika picha zinazomuonesha akiwa kimahaba na mwanaume huyo kisha kusindikiza
na maneno yasemayo; ‘mke wa Komu’.
Post a Comment