Shaaban Katwila, baba ya mwanamuziki Q Chillah, Meneja mpya wa Yanga |
WASIFU WA
SHAABAN KATWILA:
JINA:
Shaban Rashid Katwila
KUZALIWA:
Januari 28, 1954
KLABU
ALIZOCHEZEA:
Sungura FC -
Tabora 1972-1973
Mwadui FC -
Shinyanga 1974-1975
Yanga SC -
Dar es salaam 1975-1984
Inter FC -
Burundi 1984 -1986
Bank of
Rwanda FC - Rwanda 1987-1988
NAFASI:
Winga wa kushoto na kulia
UZOEFU
KAZINI:
Kocha wa
Chumvi Uvinza 1992-1994
Mfanyabiashara
tangu 1994
TAALUMA:
Kozi ya Awali ya Awali
Post a Comment