Mwenyekiti wa kamati
ya Dunia ya sayansi na taaluma ya mabadiliko ya tabia nchi Bw. Richard Muyungi
akibadilishana mawazo juu ya utendaji kazi wa kamati hiyo na Makamu wake Bw.
Narcis Jeler kushoto, kutoka wizara ya nishati na Misitu ya nchini Romania.baada
ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia
nchi duniani unaondelea mjini Doha nchini Qatar.
Loading...
Home » Unlabelled » Mkutano Wa 18 Nchi Wanachama Wa Mabadiliko Ya Tabianchi Umeanza Mjini Doha, Qatar.
Post a Comment