Jaji wa
mahakama kuu ya Tanzani, Sivangilwa Mwanges (kushoto)akikata utepe kuzindua
kitabu cha utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa
katiba ya 2012 tafiti kutoka nchi za Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya
kusini.mara baada ya kufungua mkutano huo wa siku mbili (kulia)mwenyekiti wa
jukwaa la jinsia , Magdalena Rwebaugira.
Jaji wa mahakama
kuu ya Tanzania, Sivangilwa Mwangesi (kulia) akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa
mkutano wa utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa
katiba ya 2012 tafiti kutoka nchi za Ghana, Kenya ,Rwanda,na Afrika ya kusini
mkutano huo wa siku mbili unaofanyika kwenye ukumbi wa karimjee jijini Dar es
saalaam ulioshirikisha makamishna wa tume ya katiba,na wajumbe kutoka nje ya
nchi ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TWLA) kushoto
mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC) ,Magdalena
Rwebaugira.
Baadhi ya
wanachama wa jukwaa la jinsia na katiba wakiwa katika mkutano wa uzinduzi wa
utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya
2012
Baadhi ya
wanasheria wakimsikiliza kwa umakini Mwenyekiti wa jukwaa la jinsia (GFC)
(watatu kulia), Magdalena Rwebaugira mara baada ya kuharishwa kwa mkutano huo wa
utafiti kuhusu jinsia na mifano bora katika masuala ya uundwaji wa katiba ya
2012.
Mjumbe wa tume ya
kuregebisha Sheria, Maria Kashoda akichangia mada kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa
Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba akichangia mada kwenye mkutano
huo
Post a Comment