![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBEvRtSQpRYXZlTg2dnGFQQQM_3naACl6RfF4wMfBgYqNuaUxiE3Yin6dCzR0kN7eyJzYBJzSw1i9Ly8uUuH45mIyMYCFy6C_vZkU7_IcGOUCn6Ia4eoSs8whV4q0E-iUJRMblwyIDRjo/s640/taifa+stars+at+mwanza+1.jpg) |
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo (R) akimkabidhi
bendera ya Taifa Nahodha wa timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars Juma Kaseja
kwenye hafla fupi iliyofanyika usiku huu ndani ya Hotel Lakairo jijini
Mwanza tayari kwa safari kuelekea nchini
Uganda michuano ya Chalenji inakayoanza kutimua vumbi 24 nov 2012 nchini humo,
huku ikiwakosa wachezaji wake, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, Hata hivyo licha ya wachezaji hao kutowasili hadi
jana, viongozi wa timu hiyo wanaamini kuwa wataungana na wachezaji hao.
Katikati anaonekana kocha mkuu wa timu
hiyo Kim Poulsen. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9n_yh9EXsGDniStfeDwc60XnjhRjXaHPcvtIJCVaRo24Xv3PiZtne2HR0o55eJbkrHUj-sIYq4DookHmGo2xX8BwmlnQz6AIq5lr82ao4lNYnysXaq3siZemsH1Yc1UuGe6AfWUsqXQQ/s640/taifa+stars+at+mwanza.jpg) |
Mkuu wa
mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akiwaasa wachezaji wa timu ya taifa Tanzania Bara
Kilimanjaro Stars, ambapo kubwa zaidi kutoka kwake amewasisitiza wachezaji hao
kuweka fikra zote kwenye kila mchezo kwa dakika 90 pamoja na nidhamu ndani na
nje ya uwanja. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwmeS-H3cEDgkzwE98V5SuElbzchMSqY6bGIJCZfseQGJ7hdnoc2Y33NptbY83YEJ0YuRbkJInLJDO7478Kkx2xrJQkthVPBD_cwsTCcitkSy_RXHAL77WMEm_Eky9ievIV82DXHHW7CU/s640/taifa+stars+at+mwanza+5.jpg) |
Kilimanjaro
Stars, inayonolewa na kocha wake Kim Poulsen, iliweka kambi jijini Mwanza kwa
siku kadhaa, kabla ya kesho alfajiri kuondoka Mwanza na kuunganisha ndege katika
Uwanja wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es
Salaam. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVCJOt8HIhv4xMULKISHOTEdJU1PEwP61oS-fMwWQp8T1kqM1qcK60Xof8Kjk-pWoWdvSwjCFV8CiN0Z7RXDScf9Ag_hxkF1WaXNS0_m61L-z54cboHtRS6MRLvhVDS1bw-EUTGvZEA30/s640/taifa+stars+at+mwanza+3.jpg) |
Licha ya
kocha mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen kuahidi mazuri kwa watanzania pia amesema
kuwa morari itaongezeka kwenye timu yake iwapo Watanzania watajitokeza kwa wingi
kuisapoti timu yao ya Taifa, katika michezo yake yote na kustaajabisha wenyeji
kwa ubunifu namna ya
ushangiliaji. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg7S6jCJ6Scekw9N_oeJprhKFgnnulqvgqNMgEg5wlR5P1akpyxklsBNGYqee3fEUMKIPX5vX3luZxgC6LC-oy65rmg1ACnuEG6ztjdrB_y2wO8XeBIHroFAsOoj3MEIyz9NuPXMGQlW44/s640/taifa+stars+at+mwanza+6.jpg) |
Meza
kuu... |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4JMpBXDIFCh1VHqVR28ZOPNfAazWZKZ7Ua4C1UnBWWvgmChPODKx7Me_gBL0Mai9VLTB_71n9DjGjXxbnhu3UkpmeUt-BBU2x7rQHn9XF7-lrRDlmJPcjeKEeQY4m5PObo5Kp5C2NuEw/s640/taifa+stars+at+mwanza+7.jpg) |
Meya wa jiji la Mwanza (Nyamagana) Stanslaus Mabula
(R) akiteta na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Henry Matata (L)
kwenye hafla fupi iliyofanyika usiku huu ndani ya Hotel Lakairo jijini
Mwanza tayari kwa safari kuelekea nchini
Uganda michuano ya Chalenji inakayoanza kutimua vumbi 24 nov 2012 mjini
Kampala. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEil0fU_pMii1wPkJxKjIyEF1d0mn8RojZHY0YaBLlGMpP3G1JZNJgRrLxFdkhC5rVDtUiCPHXQkMTvg71eqnaJVRPXXjIRYG6h0twoiK2Qz6hGzj2mWlYbVzn0GucuMCl0PJCAqTUXAsK8/s640/taifa+stars+at+mwanza+8.jpg) |
Mkuu wa wilaya ya ilemela Bi. Amina Masenza (L)
akiteta jambo na Katibu tawala wa Mkoa
wa Mwanza (RAS) Bi. Doroth
Mwanyika, kwenye hafla fupi iliyofanyika
usiku huu ndani ya Hotel Lakairo jijini Mwanza tayari kwa safari kuelekea nchini Uganda michuano ya
Chalenji inakayoanza kutimua vumbi 24 nov 2012 mjini
Kampala. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgeUGY4koFGUlfDOzlpV2YTtDxwcABkYzr0vPY8RKCRahVuH-isR11mSbzQ4BTzxkMMBpQDkXDScK3YEXjxGjA7kjJ0mHq0cA4vgMJ4aMIUu29_yKgGY25XmrkoxgZn4QT5n9orHdk3VOw/s640/taifa+stars+at+mwanza+9.jpg) |
Afisa
habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mr. Kuni Atley (R) akiwa na kocha mkuu
wa Kilimanjaro Stars, Kim Poulsen
(L). |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKjWnCtS0qK0CriNJxbgk0YCSUFH2kWnZf_3Houb9ZYl4OYAAEN__grW2nM-GAA3gLePRLxXLohqkEz3MPXtFuVJN_Y1yK937EpAVYpNx6gtYiJj4gfurgB4jU3yqz7AbSOlQv1XQNDyM/s640/taifa+stars+at+mwanza+11.jpg) |
M-blogishaji
maarufu wa The big top ten Muhksin Mambo (R) akiwa na kocha mkuu wa Kilimanjaro
Stars, Kim Poulsen (L). |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXqLjE6WimIiB4Ba9OHRKec82L228vUJzY_vVn1WGlipUx11txx9G06JnDtbizWjVVEJHC2tAs6_EW6JIGeCEt1RJcGc9FTn8GL0OFsLCys-u6DFhLXE8mUFLEA6q5hl7r84WE3yC1VOE/s640/taifa+stars+at+mwanza+10.jpg) |
CEO wa
Blogu hii Albert G. Sengo (R) akiwa na kocha mkuu wa Kilimanjaro Stars, Kim
Poulsen (L). |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibgazz5qsdTJdeSJJEbcEMyptJOyV8064DLNgNsdceobffAL7UyMQNDDMBUb6vcE7PcyJRNZLyDYO1moSKejEQdESujdW3jYi0ExZoOdr689757CCwr4cDI2Syb-faCXgddbXXxIxVg5Q/s640/taifa+stars+at+mwanza+4.jpg) |
Kila la
kheri Kilimanjaro Stars. |
on Sunday, November 25, 2012
Post a Comment