ILIKUWA Jumapili tulivu katika kiwanja maarufu cha Maisha Club Masaki pale Jarida la Bab Kubwa lilivyowatunuku wasanii wa filamu kutoka Swahiliwood Tuzo za heshima kwa mwaka 2012, wasanii waliolamba turufu walikuwa ni Yvonne Cherryl na marehemu Steven Kanumba.
.


Post a Comment