 |
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo
ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla
ya leseni 21 zilikabidhiwa kwa wachimbaji hao baada ya kutolewa na serikali ili
kuwwezesha wachimbaji wadogo nao kunufaika na m,adini badala ya wachimbaji
wakubwa tu.
 |
|
Wajumbe wa mkutano wa shina namba moja la
Kisesa mkoani Rukwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM, Kinana wakati akiwahutubia.
|
|
on Saturday, November 24, 2012
Post a Comment