Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,
Edward Lowassa, kwenye
Uwanja wa Ndege wa Arusha.
Kushoto ni Katibu wa CCM
Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda.
Pikipiki zikiongoza
msafara wa Kinana, kutoka Uwanja wa
Ndege wa
Arusha
Kinana akipandisha
bendera ya CCM, kuashiaria ufunguzi Shina
la Wakereketwa
Wajasiriamali wa CCM, Nguruma, Arumeru, Arusha.
Ngoma wa Kimasai,
ilikuwa ni moja ya burudani zilizopamba
mkutano wa Meru,
Arusha
Kinana akisalimia
wananchi baada ya kuwasili Viwanja vya Usa River
kuhutubia mkutano wa
hadhara.
Waziri Mkuu Mstaafu,
Edward Lowassa kulia, akiteta jambo na Katibu Mwenezi wa
CCM, Nape Nnauye katika
mkutano uliohutubiwa na
Abdulrahman
Kinana.

Baadhi ya vijana 150 wa
Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema)
waliohamia CCM wakionyesha kadi
zao za zamani wakiwa
Chadema, wakati wa mkutano wa Usa River.
Wazee wa Kimeru,
wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa
CCM, Kinana katika
mkutano uliofanyika Usa River, Arusha.
Anayemkabidhi ni Ezrom
Sumari.
Kinana akivishwa mavazi
ya jadi ya Wameru, wakati wa mkutano uliofanyika
Usa River,
Arusha.
Kinana akiwa na zana za
jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Kimeru,
katika
Mkutano wa CCM
uliofanyika Usa River, Arusha












Post a Comment