MSANII wa Filamu nchini anaekuja kwa kasi ya ali
ya juu John Maganga ameamua kuanzisha kampuni yake kwa ajili ya kazi za sanaa
akizungumza na mwandishi wetu Dar Es salaam jana
amesema amefungua Kampuni yake ijulikanayo kwa
jina la Jom Entertainment Co. Ltd
Kwa ajili ya kazi mbalimbamba za sanaa
akizungumzia jinsi alivyojingiza katika Tasnia hiyo Maganga anmease alianza
kuona kipaji chake tangia mwaka 2001 alipokuwa akifundishwa na msanii nguli wa
filamu nchini Ndumbago Misayo 'Thea' ambaye alikuwa mwalimu wake wa maigizo
wakati wapo kanisani pale Mwananyamala
Ndipo baadae na mimi nikaja kujijua kuwa nina
kipaji cha kuigiza nikanza kucheza filamu ya kwanza iliyokwenda kwa jina la
Miracle of Love ambayo ilifanya vizuri sana katika kumtambulisha kisanaa
nchini
Mwaka 2008 nikashauliwa na ndugu yangu Deogratios
Shija kuwa mimi nina kipaja cha kushiliki filamu kubwa hapa nchini ndio mana
sikusita kufungua Kampuni yangu kwa ajili ya kuendeleza fani
hii
Ambapo kwa sasa niko njiani kutoa filamu ya Beaut
Fools aliyowashilikisha wasanii kama Aunt Ezekier,Hji Salumu 'MBoto' na wengine
wengi
Msanii huyo aliyeimwagia sifa kem kem Kampuni ya
Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam kwa kufanya kazi vizuri na wasanii
nchini
Post a Comment