Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANYEKITI WA WAZAZI TAIFA, BULEMBO APOKELEWA KIFALME DAR

Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo akipunga mikono baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, ambako aliandaliwa mapokezi rasmi na uongozi wa Jumuia hiyo mkoani Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Angela Kiziga (kushoto) akiwakaribisha Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo na Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo Dogo Mabrouk baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja leo
Bulembo akikumbatiwa na baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam,
Bulembo akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam
Bulembo na Dogo wakiwa na Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Dadi na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Angela Kiziga
Wafanyakazi wa Family Bank (T) Limited wakiwa kwenye mapokezi hayo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Family Bank (T) Limited wakiwa kwenye mapokezi hayo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Jumuia ya Wazazi wakiwa kwenye mkutano huo
Tunda Man (wapili kulia) na kundi lake, wakitumbuiza kwenye mapokezi hayo.Kwa hisani ya Bashiri Blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top