Habari ndugu zangu karibu tena ujantz. Leo tutazungumzia swala zima la namna ya kuweza kuwakabili watu wenye wivu. Kwanza hebu ask yourself? Ni mda gani mtu anapata wivu? Ujana tz imegundua njia nyingi ambazo zinampelekea mtu kuwa na wivu nitaomba nitaje moja halafu tuendelee na mada, njia ya kwanza ni pale pindi mtu anaposikia umepata mafanikio!
Zifuatazo ni njia za namna ya kudeal na watu wenye
wivu!
Step 1
Kwanza tuangalie ni zipi
dalili za mtu mwenye wivu!
Ukimya au pause ambalo
linafuatia pindi unapomuhabarisha mtu kuhusu mafanikio yako, dalili nyingine ni
mtu huwa akuangalii machoni pindi unapompa habari nzuri unamuona ghafla tu
ameanamisha macho chini,
Now that you know that a person is jealous
of you, what do you do? The sulkiness, competition, imitation or slandering is
bothering you. How do you handle all of this?
Step 2
Mpuuzie! Yes it is easier said
than done. But really, think about it! Do you want to ruin your compusre, na
akili yako kwa kuwafkria hawa watu wenye wivu na wewe? Kwanin wakusumbue akili
yako? Tumia mda wako pamoja na nguvu zako kwa kufkiria vitu ambavyo vitakuwa ni
productive kwako, , and you won't be able to do that until you learn
to detach yourself by ignoring their shenanigans. They are not worth
the sweat.
Step 3
Rudisha tabia yao mbaya iwe nzuri. Nothing
extinguishes fire like water! Successful people don't just ignore malice - they
take every opportunity to convert their foes into
friends. The best way to do that - and the most difficult - is by doing good to
such people as soon as the chance comes by.
So that co-worker who deliberately exposed
your bluff and ruined your chances for a pay-raise last quarter, is sick? Visit
her at the hospital with some flowers and wish her a quick recovery. Chances are
your strained relationship with her will get better too, as a result.
Step 4
Never stoop to their
level! Don't fight fire with fire. If you start returning tit for tat,
you are no better than they. Two negatives don't make a positive. Don't resort
to revenge, no matter how tempted you might be. Some gossip-mongers might entice
you to a cat-fight by saying, "Did you hear what [jealous person] said about
you?". Ignore these attempts at war; others just want to be entertained at
your expense. It will make the situation even worse if you returned the
favours.
Owk ahsante sana ndugu msomaji
huo ni mtazamo tu wa ujana tz hata wew unaweza ukawa na wako ahsante na endelea
kutembelea blog hii bado vipi vizuri vingi vinaendelea kuja kumbuka huu ni
mwanzo tu
Post a Comment