Mabondia Nassibu Ramadhani na Francis Miyayusho
wakitunishiana misuli wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa WBF
utakaofanyika Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mwandaji wa mpambano wa ubingwa wa WBF Mohamed
Bawazir katikati akiwa ameshika mkanda na mabondia Nassibu Ramadhani kushoto na
Fransic Miyayusho kulia wengine kulia ni Rais wa PST Emanuel Mlundwa ambao na
wasimamizi wa mpambano huo na Kushoto ni Mratibu Paul Kunanga na Kocha wa Nasibu
Christopher Mzazi
on Thursday, November 15, 2012
Post a Comment