Mtalaamu Mwelekezi wa Taasisi ya Bico ya Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Abdalah Chungu akifafanua jambo katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mradi wa ujenzi wa kitegauchumi
cha Jeshi la Polisi na nyumba 350 za jeshi hilo.Ujenzi wa Kitegauchumi hicho
utafanywa na Kampuni ya Mara Group Ltd ya Uganda eneo la polisi lililopo
Namanga, Oysterbay, Dar es Salaam. Kushoto ni Msemaji wa jeshi hilo, Advela
Senso.Picha ya chini anayeonekana kulia ni Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani,
Isaac Nantanga.
Rais Samia apongezwa kuwezesha ujenzi ofisi kuu za WMA
33 minutes ago
Post a Comment