Mwanamuziki muimbaji Rehema Chalamila maarufu
kama RayC amekumbwa na tatizo kubwa la kuathirika na madawa ya kulevya. Kwa sasa
yumo katika hatua za matibabu ya kujaribu kuondokana na tatizo
hilo.
Kwa kadri
ya maelezo ya mama yake dawa ambazo anahitaji kuzitumia ili kuponi ni gharama na
pia kama wote tunavyofahamu pia mgonjwa yoyote anatakiwa kula vizuri, mzigo huu
ni mkubwa kwa huyu mama, kwa hiyo kunahitajika msaada wa kubeba mzigo
huo.
Wapenzi wa
muziki wa binti huyu na watu wenye mapenzi mema tunaweza kumsaidia mama huyu kwa
kumtumia kiasi chochote cha fedha kwa kutumia huduma ya tigo pesa kupitia namba
0655999700
Natanguliza
shukrani kwa wote watakao weza kutoa msaada wowote kwa ajili ya matibabu ya
mwenzetu
Habari hii
kwa hisani ya Mzee Kitime-Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini.
Post a Comment