Gari aina ya Toyota Harrier
lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea
Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa
papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota
Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu
na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam
kuelekea Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea
alikufa papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza
Tanga.
Gari aina ya Toyota Harrier
lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki
Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea’ kutoka jijini Dar es salaam kuelekea
Kijijini kwao Lusanga Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Sharo Millionea alikufa
papo hapo na mwili wake kuhifadhiwa Hospitali ya Teule Muheza Tanga.
Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi
akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule
Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea aliyekufa katika
ajali ya gari wakati akitoka Dar es Salaam kwenda Lusanga, Muheza mkoani Tanga,
ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Kijiji cha Songa Kibaoni jana usiku.
Post a Comment