Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakuu wa Mikoa Vincent Ole Kone wa Singida (wapili kulia) na Mhandisi Evarest Ndikilo wa Mwanza (watatu kulia) katikaMkutano Maalum wa Wakuu wa Mikoa, , Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Mikoa kwenye ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma novemba 15 , 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa katavi, Dr. Rajabu Rutengwe. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Hawa Ghasia katika mkutano Mkuu Maalum wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Baadhi ya wakuu wa mikoa wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano Mkuu Maalum wa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma Novemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro wakitoka kwenye ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma ambako waziri Mkuu alifungua mkutano wa Wakuu wa Miko, Mikoa makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Novemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu wa Tanzani, Mizengo Pinda