Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI DODOMA LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ,Jakaya mrisho Kikwete akiteremka kwenye ndege leo Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo .

Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo mchana(picha na Freddy Maro)
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi kabla ya kuondoka kuelekea mjinni Dodoma ambapo ataongoza mkutano Mkuu wa CCM.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Dodoma leo,kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Pius Msekwa, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye. Rais atakuwepo Dodoma kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Mapinduzi utakaoanza tarehe 11 mpaka tarehe 13 Novemba.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top