Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zitto kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Novemba 9, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).