Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala ya Waheshimiwa majaji toka kwa muwakilishi wao, Jaji Dkt Fauz Twalib, wakati wa kufunga mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini Arusha leo Novemba 16, 2012
Rais Jakaya Kikwete akikufunga
mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini
Arusha leo Novemba 16, 2012
Rais Jakaya Kikwete akikufunga
mkutano wa siku nne wa Majaji uliofanyika katika hoteli ya Snow Crest jijini
Arusha leo Novemba 16, 2012.Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Nhe. Magesa Mulongo Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri wa Sheria Mhe
Mathias Chikawe, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi
Mhe Fakih Jundu
Post a Comment