Jumapili hii ndani ya New Maisha Club kutakuwa na BaabKubwa Reloaded Party kwa ajili ya kuzindua muonekano mpya wa BaabKubwa Magazine na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa.
Kutakuwa na show kali kutoka kwa Wasanii BOB JUNIOR, MR BLUE, RICH MAVOKO huku wakisindikizwa na DAYNA, WATANASHATI, BAGHDAD, WARWILL na wengine wengi.
Pia kutakuwa na Countdown Cover kumi {10} bora za BaabKubwa Magazine tangu kuanzishwa kwake utaweza kuziona live siku hiyo.
Uzinduzi wa Magazine mpya na Orijino Komedi.
Bila kusahau show itakuwa hosted by ADAM MCHOMVU “Baba Jonii” from XXL ya Clouds fm.
Zaidi kutakuwa na Red Carpet kwa ajili ya Masuper Star wa Bongo Movies na Bongo Flavour ambayo itaanza mapema mida ya saa 5 usiku ikifuatiwa na show kali toka kwa wasanii mapema kuliko show zote zilizowahi kufanyika ndani ya New Maisha Club.
NOTE: Entrance Tsh 10,000/= na ukiingia utapewa na BaabKubwa Magazine mpya {Issue 72} bureee…..Itakayotoka siku huo. Usikoseeeeeeeee
Post a Comment