Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mhadhara wa 13 wa
Kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo, kwenye Ukumbi wa
'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu
cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.
Sehemu ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha
SUA wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akitoa mhadhara wa 13 wa kumbukumbu ya
Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo, kwenye Ukumbi wa 'Nelson Mandera
Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA)
mjini Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Kilimo cha SUA, Alnoor Kassim, baada ya Makamu kutoa mhadhara wa 13
wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa
'Nelson Mandera Freedom Square' Kampasi ya Solomon Mahlangu, katika Chuo Kikuu
cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro, leo
Loading...
Home » Unlabelled » MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATOA MHADHARA CHUO KIKUU CHA KILIMO SUA MJINI MOROGORO LEO
Post a Comment