Meza kuu ikifurahia wimbo wa kuisifu CCM kwenye hafla hiyo.
Mwenyekiti wa CCM Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia umati wa wana CCM wa mkoa wa Dodoma walioandaa
hafla ya kumpongeza kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM. Hafla
hii imefanyika makao makuu ya CCM Dodoma.
umati wa wana CCM wa mkoa
wa Dodoma walioandaa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa CCM.
Mwenyekiti wa CCM Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na viongozi wengine wakati alopotembelea Mradi
wa Zabibu,Mjini Dodoma
Post a Comment