Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kuli) akizungumza Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi Nchini Rasa Al Khaimah Bw. Kamal Ahaya na Ujumbe wake na Mjini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya Nchini Ras Al Khaimah Bw. Kamal Ahaya nyumbani kwake Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi wa Ras Al Khaimah nyumbani kwake Mjini Dodoma. Kati kati yao ni Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wananchi na Ushirika Mh. Haroun Ali Suleiman.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (wa pili kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Mafuta ya Ras Al Khaimah baada ya kuzungumza nao Mjini Dodoma. Kulia kwa Balozi Seif ni Mshauri wa Mfalme wa Ras Al Khaimah Bw. Salem Ali ambaye ndie aliyeuongoza Ujumbe huo.