Naibu Katibu Mkuu Wizara
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mheshimiwa Anna Maembe akizungumza katika
tamasha la Simama Awareness, lililofanyika viwanja vya Posta Kijitonyama, Dar.
Tamasha hilo lililoandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali iitwayo Tanzania
Alliance Peoples Organisation likiwa na lengo kupinga ubakaji kwa Watoto...
ujumbe usemao, SIMAMA KATAA UBAKAJI WA WATOTO.
Mwakilishi wa Ustawi wa
Jamii Kinondoni, Fransisca Makoye akitoa somo kwa watoto waliohudhuria tamasha
hilo.
Mtoto wa shule ya msingi
Hekima ya jiji Dar es Salaam akieleza machache kwa watoto wenzake, pembeni yake
ni Mwakilishi wa Ustawi wa Jamii Kinondoni, Fransisca Makoye na mshereheshaji
Zainab.
Watoto wakifuatilia
tamasha.
Wanahabari toka kituo cha
television ya TBC1, wakifanya mahojiano na watoto.
Meza kuu
wakifuatilia.
Inspector Prisca Komba wa
Kituo cha Polisi Osterbay mwakilishi kutoka polisi
Walimu wa Shule ya msingi
Hekima wakifuatilia kwa makini.
Nyimbo toka shule ya msingi
Hekima.
Picha ya Walimu, Wanafunzi,
Waandaaji pamoja na mgeni rasmi.
Post a Comment