Wanajeshi saba wamarekani wa kitengo cha Elite
akiwemo mmoja wa maafisa wa jeshi aliyehusika na kumkamata na kumuua Osama bin
Laden wameadhibiwa kwa madai ya kutoa taarifa za siri za marekani kinyume na
sheria.
Saba hao walipata barua za nidhamu na kupokea nusu ya mishahara yao kwa kipindi cha miezi miwili .
Idara ya usalama ya marekani bado inachunguza iwapo maafisa zaidi wa kitengo cha Seal walihusika
Chanzo: http://www.bbc.co.uk/swahili/news
Post a Comment