ASKAOFU Justin Welby,
aliyeteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana, yaani Askofu wa
Canterbury, amependekeza kwenye mtandao wa Twitter kwamba mtu yeyote aliyeshinda
kwenye kamari kwa kubahatisha kuwa yeye ndiye atateuliwa, anafaa kutoa fedha
hizo kama sadaka kwa kanisa.
Mwanzo wa juma hili
makampuni ya kamari yalitangaza kuwa yamesimamisha kamari juu ya nani atakuwa
kiongozi mpya wa kanisa la Anglikana, kwa sababu wengi walifikiri kuwa ni Askofu
Welby, ambayo inaonesha baadhi ya maafisa wakijua kuwa jina hilo ndilo
lilopendekezwa.
Askofu Welby atachukua
nafasi ya Rowan Williams mwaka ujao kuwa kiongozi wa wamumini wa Kianglikana
dunia nzima.

Post a Comment