Meneja Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew
akizungumza wakati wa semina ya siku moja kuhusu teknolojia mpya ya kuuza tiketi
kwa kutumia simu ya mkononi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, pamoja na kukuza
ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Precision Air na kuhudhuriwa na mawakala
wa mashirika ya ndege jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa kampuni ya Wakala wa Ndege ya
Tan Travel, , Paul Walden akichangia mada katika semina hiyo
Wadu wakifuatilia mada
Baadhi ya wafanyakazi wa Precision Air walioshiriki semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja
Meneja
Mkuu wa Kampuni ya Travelport, Eliasaph Mathew akiwatambulisha baadhi ya
wafanyakazi wa wa kampuni hiyo.
Kaimu Meneja wa Taifa wa Mauzo wa Precision
Air, Ibrahim Bukenya akimkabidhi tiketi ya ndege mwakilishi wa kampuni ya
uwakala wa ndege ya Moon Travel, Amina Saleh
Post a Comment