Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UJUMBE KUTOKA RAS AL KHAIMAH WAKUTANA NA DK. SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Bw, Salem Ali
Sharhan,Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah,akiongoza ujumbe wa watu
wanne ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe kutoka Ras Al
Khaimah,ukiongozwa na Bw, Salem Ali Sharhan,(wa pili kulia) akiwa
Mshauri wa Mtawala wa Ras Al Khaimah, ujumbe huo wa watu wanne
lipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top